Mbunge wa Kuteuliwa, Prof. Shukrani Manya amesema kuwa uamuzi wa serikali kupandisha kiwango cha pensheni kwa wastaafu ni ishara ya wazi ya kujali ustawi wa maisha yao. Ameeleza kuwa hatua hiyo ni muhimu kwa kuwa inatambua mchango mkubwa walioutoa katika kulitumikia taifa wakati wa uhai wao wa kikazi.
Manya ameyasema hayo katika kipindi cha #MorningTrumpet kinachoruka katika chaneli ya #UTV
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi