Mazungumzo ya kusitisha vita tena Ghaza yagonga mwamba kwa ukwamishaji wa Israel

Duru za kuaminika zimefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umekataa mapendekezo yote yaliyotolewa na wapatanishi ya kusitisha mapigano kutokana na uungaji mkono kamili unaopata kwa Marekani na kwamba mazungumzo juu ya suala hilo yameishia kwenye mkwamo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *