‘Mauaji makubwa zaidi ya watoto’: Iran yalaani mauaji ya Israel na US dhidi ya watoto wa Gaza

Jamhuri ya Kislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya halaiki ya utawala wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza, na kuyataja kuwa ni sehemu ya sera ya iliyopangwa ya mauaji ya kimbari yenye lengo la kufuta utambulisho wa Wapalestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *