Mateso na mauaji ya raia Syria; Nani awa kuzihami jamii za wachache?

Licha ya maagizo ya mara kwa mara yanayotolewa makundi yenye silaha yanayowataka wanamgambo wao kufanya mauaji kwa siri dhidi ya raia na kutopiga picha mauaji na uhalifu wao, dhidi ya watu wa jamii za wachache huko Syria, hasa jamii za Maalawi na Mashia, lakini hata hizo video chache zinazovuja, zinaonesha kuendelea kufanyika ukatili wa kutisha sana nchini Syria.