Masomo ya watoto milioni 240 yalivurugwa na hali mbaya ya hewa 2024

Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema ratiba ya masomo ya takriban wanafunzi milioni 242 katika nchi 85 duniani yalitatizwa na hali mbaya ya hewa mwaka 2024.