Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel

Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Wapalestina.