Mashirika ya haki za binadamu ya Poland: Mkamateni waziri mhalifu wa Israel

Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Poland yametoa wito wa kukamatwa Waziri wa Elimu wa Israel ambaye yuko safarini nchini humo.