Mashirika 113 ya haki za binadamu yatoa wito kwa Baraza la Usalama kuiwekea Israel vikwazo

Mitandao na mashirika 113 ya kutetea haki za binadamu duniani kote yamelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuweka vikwazo vya kimataifa kwa utawala ghasibu wa Israel ili kukomesha mauaji ya kimbari na njaa katika Ukanda wa Gaza, na kuondoa kukamilifu mzingiro wa eneo hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *