Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Yafunguliwa Algeria

Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur’ani ya Algeria yamefunguliwa huko Algiers, mji mkuu wa Algeria.