Mashambulizi ya RSF magharibi mwa Khartoum yauwa raia 4 na kujeruhi wengine 30

Mamlaka ya serikali za mitaa huko Sudan imetangaza leo Jumatatu kuwa mashambulizi ya mizinga ya wanamgambo wa kikosi cha RSF yameua raia wanne na kujeruhiwa wengine 30 katika mji wa Omdurman unaopatikana katika jimbo la Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *