Mashambulizi ya Marekani Yemen yavuruga uuzaji wa chai ya Kenya

Biashara ya chaki ya Kenya imeingia matatani baada ya Marekani na Uingereza kuanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Yemen na kupelekea jeshi la Yemen kujihami na kujibu uvamizi wa madola hayo ya kibeberu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *