Mashambulizi ya kinyama ya US dhidi ya Yemen yamtia ‘wasiwasi mkubwa’ Katibu Mkuu wa UN

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ametiwa ‘wasiwasi mkubwa’ na mashambulizi ya hivi karibuni ya anga yaliyofanywa na Marekani katika na karibu na bandari ya Ra’s Isa ya Yemen.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *