Mashambulizi mapya yaanga ya Marekani yalenga maeneo kadhaa Kaskazini mwa Yemen

Marekani imeendeleza mashambulizi dhidi ya Yemen kwa kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi ya anga katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo ya Kiarabu, yakilenga maeneo ya raia na baadhi ya maeneo ya kijeshi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *