Mashambulizi dhidi ya Meli za Uhuru; Jinai nyingine ya Israel

Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya jinai nyingine ya kushambulia kwa droni na ndege zisizo na rubani meli za uhuru (Freedom Flotilla) iliyokuwa inapeleka misaada ya kibinadamu kwa wananchi madhlumu wa Ghaza, na hivyo kuzidisha orodha ya jinai za utawala huo katili dhidi ya ubinadamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *