Masaibu manne anayopitia Kizza Besigye Uganda

“Nilimtembelea Kizza Besigye kwenye selo yake, alikuwa amelala kwenye kitanda chumba kidogo ambacho kimechukua chumba kizima. Kulikuwa na milango sita au saba niliyopita mpaka kumfikia’.