Mark Carney: Canada haitasahau usaliti wa Marekani/ Mahusiano ya zamani yamekwisha

Waziri Mkuu mteule wa Canada, Mark Carney ametoa ujumbe mzito kwa Marekani, akisema kwamba Ottawa haipaswi “kusahau usaliti wa Washington ambao umeathiri vibaya uhusiano wa kibiashara wa nchi hizo mbili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *