Marekani yasimamisha misaada mipya ya fedha nje ya nchi, Israel na Misri hazimo

Serikali mpya ya Marekani imetangaza kuwa inasitisha takribani ufadhili wote mpya wa msaada wa fedha wa nje ya nchi isipokuwa kwa washirika wake wawili ambao ni utawala wa Kizayuni wa Israel na Misri. Haijafahamika wazi kama uamuzi huo unaihusu pia Ukraine au la,.