Marekani yapiga magoti, Trump aomba kufanya mazungumzo na China kuhusu ushuru wa forodha

Chombo kimoja cha habari cha China kimefichua kwamba, kinyume na matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump, Washington, sio Beijing, inahaha ikiomba kufanya mazungumzo na China kuhusu ushuru wa forodha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *