Marekani yapanga kuishambulia kijeshi Panama

Panama imesisitiza kujitolea kwake kudumisha uhuru wake kufuatia ripoti kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump, anatafakari kuchukua hatua za kijeshi kudhibiti ‘Mfereji wa Panama’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *