Marekani yamfukuza Balozi wa Afrika Kusini kwa ‘kujieleza’

Msuguano baina ya Marekani na Afrika Kusini umeendelea kutokota, baada ya Washington kumtangaza Balozi wa nchi hiyo ya Kiafrika mjini Washington, Ebrahim Rasool, kuwa mtu asiyetakiwa, kufuatia matamshi yake ya kumkosoa Rais Donald Trump.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *