Marekani yakiri ndege yake ya kivita kuanguka baharini huku Wahouthi wakidai kuishambulia

Ndege ya kivita ya F-18 ilianguka kutoka kwenye meli ya kubeba ndege za Marekani katika Bahari Nyekundu, saa chache baada ya Wahouthi kudai “kuishambulia meli hiyo” ya USS Truman.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *