Marekani yaendeleza hujuma dhidi ya Yemen; yafanya mashambulizi 72 katika saa 24

Vyombo vya habari vimearifu kuwa, Marekani imefanya mashambulizi 72 ya anga katika maeneo mbalimbali ya Yemen katika muda wa saa 24 zilizopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *