Marekani, Mshirika Asiyeaminika

Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, ambaye amemrithi Justin Trudeau, amesisitiza kwamba atajibu hatua za Marekani dhidi ya nchi hiyo katika nyanja za kiuchumi na kibiashara, na amekiri kwamba: “Marekani si mshirika wa kuaminika tena.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *