Marekani inapokosa mwama; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa na Marekani hata kama ni kwa kutumia nguvu za kijeshi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *