Marais wa Marekani waliopokea zawadi za kifahari

Wapinzani na wafuasi wake wa Trump, wote wanaungana kupinga zawadi ya ndege ya Qatar. Lakini usichojua ni kwamba, utawala wa Trump sio wa kwanza Marekani kupokea zawadi za kifahari kutoka kwa viongozi wa nchi za nje.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *