‘Marafiki wenye uadui’: Uhusiano wa Trump na Ulaya wakati huu unaweza kuwa tofauti sana

“Ni jambo la kipuuzi! Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nchi inahisi kuwa na huzuni. Uchumi wetu unayumba… Lakini vyombo vingi vya habari vya Ujerumani vinaonekana kuandika taarifa zinazomhusu Trump, Trump, Trump!”