Mapigano ya silaha yazuka kati ya wanamgambo wa Al-Joulani, wawania mamlaka ya kuendesha miji ya Syria

Duru za Syria zimeripoti kuwa yamezuka mapigano ya silaha kati ya wanamgambo wenye mfungamano na Al-Joulani, kamanda wa kundi la wabeba silaha la Hay-at Tahrir al-Sham.