Mapigano makali katika mji mkuu wa Sudan na karibu na ikulu ya Rais

Duru za habari zimetangaza kuwa mapigano makali yamejiri kati ya jeshi la Sudan na kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum na karibu na ikulu ya Rais.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *