Mapigano kati ya Jeshi na waasi yapamba moto DRC

Mapigano makali yanaendelea katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, waasi na jeshi wakirushiana risasi.