Manila yamkabidhi Rais wa zamani wa Ufilipino kwa ICC

Takriban miaka mitatu baada ya kuachia ngazi, Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amekamatwa na mamlaka za nchi hiyo mjini Manila, kwa ombi la Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ambayo inachunguza madai ya “uhalifu dhidi ya binadamu” unaodaiwa kufanywa na kiongozi huyo katika kipindi cha miaka sita alipokuwa madarakani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *