Man Utd wanamuwinda mshambuliaji wa Spurs Son-Tetesi za soka Jumapili

Manchester United wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Tottenham mwenye umri wa miaka 32 kutoka Korea Kusini Son Heung-min.