Mambo 15 yapasishwa azimio la Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, ‘Mission 300’

Marais na wakuu wa nchi za Afrika wamekubaliana kuhakikisha wanawekeza zaidi na kushirikiana katika miradi ya pamoja na umeme ili kufikia lengo la kuwafikishia nishati hiyo wananchi milioni 300 ifikapo 2030.