Mali yatengua vyama vyote vya siasa na ‘mashirika’

Serikali ya kijeshi nchini Mali inayoogozwa na Jenerali Assimi Goita imetangaza kusitisha shughuli za vyama vyote vya kisiasa na mashirika ya kiraia ‘yenye muundo wa kisiasa’ katika taifa hilo la Afrika Magharibi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *