Mali: Tunawasaka wanamgambo wenye silaha waliouwa watu zaidi ya 25

Jeshi la Mali limeahidi kuwasaka “magaidi” waliohusika na shambulio la kikatili dhidi ya msafara mkubwa uliokuwa ukielekea kwenye mgodi wa dhahabu nchini humo.