Malengo ya kisiasa na kiuchumi inayofuatilia Iran katika eneo la Amerika ya Latini

Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Colombia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu wakitilia mkazo kupanuliwa na kustawishwa uhusiano baina ya pande mbili.