Makundi yenye silaha Syria yaendelea kufanya uhalifu na kutupa miili kwenye mabonde

Vyanzo vya ndani vya Syria vimeripoti kuhusu kuendelea jinai zinazofanywa na makundi yenye silaha katika miji mbalimbali ya nchi hiyo na kutelekeza miili ya kwenye mabonde na milima kwa lengo la kuficha jinai zao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *