Makumi ya wahamiaji wa Kiafrika wauawa kwa shambulio la Marekani

Takriban wahamiaji 68 wa Afrika wameripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la anga la Marekani dhidi ya kituo kimoja kinachodhibitiwa na Harakati ya Ansarulllah ya Yemen kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *