Makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Iran na Russia; ni nini na kwa nini ni muhimu?

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimetiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati katika safari ya Rais Masoud Pezeshkian mjini Moscow.