“Makubaliano na US yanaweza kufikiwa Washington ikiacha mashinikizo”

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema lango wa kufikia makubaliano na Marekani upo wazi iwapo Washington itaachana na tabia yake ya uonevu na sera zake za mashinikizo na kuiburuza Tehran katika mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *