Makosa 13 ya VAR kwenye ligi ya Premier kufikia sasa msimu huu

Kumekuwa na makosa 13 ya waamuzi wasaidizi wa video (VAR) katika Ligi ya Premia hadi sasa msimu huu – yakiwa ya chini kutoka 20 yaliofanyika katika hatua sawa muhula uliopita – kulingana na wakuu wa ligi.