Makamu wa Rais wa Marekani aishambulia Ujerumani, asema “imejenga upya Ukuta wa Berlin”

Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance amelinganisha jinsi serikali ya Ujerumani inavyoamiliana na chama cha mrengo wa kulia cha Alternative for Germany (AfD) kuwa ni sawa na kujenga upya Ukuta wa Berlin.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *