MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KILIMO WA BRAZIL NA AFRIKA

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KILIMO WA BRAZIL NA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazil (Itamaraty Palace) kushiriki  Ufunguzi Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu Usalama wa Chakula, Mapambano dhidi ya Njaa na Maendeleo Vijijini unaofanyika Jijini Brasilia . Tarehe 22 Mei 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu Usalama wa Chakula, Mapambano dhidi ya Njaa na Maendeleo Vijijini unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazil (Itamaraty Palace) Jijini Brasilia . Tarehe 22 Mei 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha za pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu Usalama wa Chakula, Mapambano dhidi ya Njaa na Maendeleo Vijijini unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazil (Itamaraty Palace) Jijini Brasilia . Tarehe 22 Mei 2025.

The post MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KILIMO WA BRAZIL NA AFRIKA appeared first on Mzalendo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *