Maiti zazagaa barabarani, hospitali zaelemewa na majeruhi huku mapigano yakishtadi mjini Goma, DRC

Mapigano makali yanaendele kati ya wapiganaji wa M23 na wanajeshi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC katika mji wa Goma mashariki mwa nchi hiyo huku yakiacha maiti nyingi zikiwa zimezagaa mitaani, na hospitali nazo zikielemewa na ongezeko la majeruhi.