Maiti 30 zaopolewa mtoni baada ya ndege ya abiria kugongana na helikopta Marekani

Kwa akali miili 30 imetolewa katika maji ya Mto Potomac kufuatia ajali ya kugongana ndege moja ya abiribia na helikopta ya kijeshi jirani na Uwanja wa Ndege wa Reagan mjini Washinton DC Marekani.