Mahojiano maalum na BBC: Burundi yatoa onyo dhidi ya shambulio lolote kutoka Rwanda

” Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wazingizie waasi wa Red Tabara na M23. Lakini tunawaambia kwamba ikiwa mnaona kushambulia Bujumbura ni karibu kutoka Uvira basi nasi tunaweza kushambulia Kigali kutoka mji wa Kirundo” Alionya Rais Ndayishimiye.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *