“Maharamia” warejea kwa nguvu Somalia, wateka nyara meli ya uvuvi

Watu wanaoshukiwa kuwa mo maharamia wameteka nyara meli ya uvuvi iliyokuwa na bendera ya Yemen karibu na Eyl, kaskazini mwa Somalia.