Maharamia wa Kisomali waachilia huru meli baada ya siku kadhaa za kuiteka

Maharamia wa Kisomali wameachilia huru meli iliyokuwa inapeperusha bendera ya Yemen ambayo waliiteka nyara tarehe 16 mwezi huu wa Machi 16 katika pwani ya Somalia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *