Mahakama yasitisha kwa muda agizo la Trump la kufuta haki ya uraia wa kuzaliwa

Wakati wa kesi kusikilizwa, Jaji John Coughenour amesema amri hiyo ni ”ukiukaji wa wazi wa katiba.”