Mahakama yaakhirisha kesi kwa muda Tanzania, Lissu agoma

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Tanzania, imeakhirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyewe wa Chadema, Tundu Lissu. Hii ni katika hali ambayo Tundu Lissu na mawakili wake wapinga kesi kusikilizwa kwa njia ya mtandao.’

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *