Mafuriko yaua watu 22 katika mji mkuu wa DR Congo, Kinshasa, baada ya mvua kubwa

Takriban watu 22 wamethibitishwa kufariki dunia katika jiji la Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), baada ya Mto Ndjili kufurika na kusababisha mafuriko makubwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha mwishoni mwa wiki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *